Wale tulioomba nafasi za Data Officer za MDH na nyinginezo

wakuu MDH bado hawajaita, kikubwa ni kukazana kumuomba Mungu.
 
Hata mimi niliombaga mdh data mbaka leo kimya. Ila kwa ninavyo sikia sina uhakika kuwa mdh huwa wanachaguana ndani wenyewe kwa wenyewe then wanatangaza post
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…