Wale tulioomba nafasi za Data Officer za MDH na nyinginezo .

sio ajabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
224
Points
250

sio ajabu

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
224 250
Hello wakuu habari za leo

Aseeeee nipo hapa kuuliza kwa wale tulioomba zile nafasi za MDH , za data officer na nyinginezo , vp any update maana nahis mwezi na kitu sasa .

please tell us for general benefit .
 

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Messages
1,085
Points
2,000

Doubleg Mwamasangula

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2017
1,085 2,000
Haloo watu wapo kimyaa
Labda hawajaita
Ila binadamu tunatofautiana,wengine wanaweza wakaitwa afu wasiseme

Wadau vizuri mtoe information ili ambaye aliomba ajue mchakato imepita na hakubahatika kuwa shortlisted
 

JONASON

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Messages
364
Points
500

JONASON

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2014
364 500
Daahh !! Halafu naona siku hizi hizo habar zipo sana unaona tangazo la kaz unaomba alaf huon mrejesho hata nam yamenikuta sana sielew
 

Forum statistics

Threads 1,344,373
Members 515,441
Posts 32,817,744
Top