zile post za dar watu last week wametoka kufanya interview mkuu.Tanesco wenyewe walitoa nafasi naona kimya hadi leo cjui walishawekana ndugu zao

wakuu MDH bado hawajaita, kikubwa ni kukazana kumuomba Mungu.