Wale mlochaguliwa CUHAS yajue baadhi ya mambo

balyeb

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
74
Reaction score
18
Nipende kuwapongeza niwakaribishe pia CUHAS ila Kuna vitu vichache ila muhimu vizingatie kabla hujaja ili usisumbuke badae:

Maadili kitu Cha muhimu

Nguo fupi,zinazoonesha kwa ndani au mabega nje sahau kuruhusiwa kuingia maana wapo SUMA JKT getini na wamepewa Hata hostel na maeneo yote ya chuo kulinda

Jeans usivae wakati unakuja na Hata muda wa darasa vaa kitambaa vaa kadeti na T- shirt ya collar ndo wanaruhusu

Koti na kitambulisho vinavaliwa wakati wote

Hostel gharama zmepand 600,000/= kwa mwaka na inalipwa in full

Jipange kisaiklojia kupata 100% ya mkopo sio rahis kwa ss kwa hyo lolote lawez kukupata

Registration fee inalipwa kila mwaka na in full

Huku watu wanasoma Tena Sana kwa hyo jiandae kusoma mambo sio magum Wala sio marahisi ila ujenz unaoendelea pale chuon nahis unahtaj pesa na wakiamua inawez toka kwa wanafunz wenyew hku supp znalipiw sio chin ya elfu 40 kwa somo moja kwa upande wa degree

KWA HAYO MACHACHE KARIBU SANA
 
Daah hapo sasa
Kwan mfano mkopo asilimia 100 unaionaje maan mm nimepangwa hapo na mkopo nmepata sas najuaje asilimia hzo
 
Nadhan ukilogin kwny account ako ya heslb utaona umepat kias gan
 
Daah hapo sasa
Kwan mfano mkopo asilimia 100 unaionaje maan mm nimepangwa hapo na mkopo nmepata sas najuaje asilimia hzo

Bugando ada yao ni kubwa kuliko ada ya serikali hivyo hata ukipata asilimia mia utahitaji kuongezea

Chuo kina mazingira mazuri na vyakula vingi tofauti na vyuo vya dar

Nilifanya pale field kipindi fulani..nilipapenda
 
Nipende kuwapongeza niwakaribishe pia CUHAS ila Kuna vitu vichache ila muhimu vizingatie kabla hujaja ili usisumbuke badae:

Maadili kitu Cha muhimu

Nguo fupi,zinazoonesha kwa ndani au mabega nje sahau kuruhusiwa kuingia maana wapo SUMA JKT getini na wamepewa Hata hostel na maeneo yote ya chuo kulinda

Jeans usivae wakati unakuja na Hata muda wa darasa vaa kitambaa vaa kadeti na T- shirt ya collar ndo wanaruhusu

Koti na kitambulisho vinavaliwa wakati wote

Hostel gharama zmepand 600,000/= kwa mwaka na inalipwa in full

Jipange kisaiklojia kupata 100% ya mkopo sio rahis kwa ss kwa hyo lolote lawez kukupata

Registration fee inalipwa kila mwaka na in full

Huku watu wanasoma Tena Sana kwa hyo jiandae kusoma mambo sio magum Wala sio marahisi ila ujenz unaoendelea pale chuon nahis unahtaj pesa na wakiamua inawez toka kwa wanafunz wenyew hku supp znalipiw sio chin ya elfu 40 kwa somo moja kwa upande wa degree

KWA HAYO MACHACHE KARIBU SANA
Ungetoa na mwanga kuhusu mambo ya kitaaluma pia maana ndio lengo kuu, uwepo wa walimu, mazingira ya kujisomea n.k
 
Bugando wanajitahidi Sana kwa masuala ya walimu so academically hutokuja kosa mwalim ht sku moja kwo usiwaz visiting lecturers wanakuja kwa wingi
 
Kwa mfano ukapata loan frm heslb 100%..unaongeza sh ngap?
 
Bugando wanajitahidi Sana kwa masuala ya walimu so academically hutokuja kosa mwalim ht sku moja kwo usiwaz visiting lecturers wanakuja kwa wingi

Mimi ningekua TCU nikikuta huna full time teachers wa kozi flani naifuta

Hawa visiting huwa wanafundisha kwa kulipua maana mambo yanakua mengi ndani ya muda mfupi

Chuo kikubwa kama CUHAS kingetakiwa kiwe na full time teachers wengi kwa kurecruit best students wake na kuwasomesha zaidi
 
Catholic University of Health and Allied Sciences formerly Bugando University College of Health Sciences
 
Mimi ningekua TCU nikikuta huna full time teachers wa kozi flani naifuta

Hawa visiting huwa wanafundisha kwa kulipua maana mambo yanakua mengi ndani ya muda mfupi

Chuo kikubwa kama CUHAS kingetakiwa kiwe na full time teachers wengi kwa kurecruit best students wake na kuwasomesha zaidi
Nahisi hjanielewa
Full Time teachers wapo wengi Ni masomo baadh tu sio yote ndo visiting wanakuja
 
Back
Top Bottom