Wale mliokumbana na matusi kwa wadada mliojalibu kuwatongoza tukutane hapa

unamtusi mtu kwasababu kasema neno nakupenda, nyie wasichana mbadilike haya maisha tu, na ukienda kwa huyo sharo wako akikutia mimba akikuacha ndio unajutia na kuona wanaume wabaya kumbe mbaya wewe mwenyewe.
 

Neno gani mkuu?
 
Mbali na matusi alinambia we masikin unaweza kua na mimi? Dah niliumia sana sema kwa sasa ananigongea buku ya vocha, malipo ni hapa hapa duniani
 
Duuuh ukikumbuka tu mle xn uroda mzee ndo kilichobakia
 

Hongera sana.
 
Mbavu zangu jamani
 
Wanaume wabaya jamani, duh!
 
Nishawahi kukutana na zile za kuambiwa i love you as a friend..damnit.! Aisee inauma kisela.
Mwingine alinambia ujue nakuchukulia kama kaka angu wewe Gru. Friendzoned na brotherzoned zinauma kuliko hayo matusi.
Utabaki kuitwa fun guy
 
nilitukanwa na nilidhihakiwa lakini mwaka mmoja baadae nilirudi tena,na kupewa papuchi......
nilipohuliza nini kimembadirisha..?.. hakuna jibu la maana...
nilichapa lapa baaba ya kupuzua...maana hakuwa na jipya..
 
Poleni sana...

Utamulizaje kama hiyo bikra ametolewa na Yesu?

Si wote wanaoweza utani au kutazama mambo kwa njia ya utani...


Cc: mahondaw
 
Me nilimtongoza mmama mmoja hivi kipindi nipo form one ndiyo naanza kujifunza kunyakua mademu duuuuh... Hiyo mitusi sasa siyo poa halafu kwenye umati wa watu...
 
Utabaki kuitwa fun guy
Kam ulikuwepo vile kiongozi yaani napambwa jaman Gru where would i be without u!!?

We make a very good friendship. Asikwambie mtu hii inauma kinoma halafu mbayw zaidi anaanza kukwambia mamb ya bwana wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…