Epicauta elbovitata
Senior Member
- Mar 19, 2012
- 143
- 19
Kwanza natanguliza Shukrani zangu nyingi kwa yale majembe yote ya jukwaa hili b'coz i gain lots of stuff here.
owky tatizo langu ni hii Del latitud yangu hdd yake imezingua huwa nikiwasha inaload for a long time na ipo slow sana na huwa inaleta text kuwa kuna hdd problem..
My question is je naweza kupata hdd ya around 35 to 40GB ili niichange..
na kama naeza pata na kuna mtu anaeza kunsaidia kwa hili please dont hesitate to help me out..
Asanten Sana
Kaka ukiamua kutafuta HDD ndogo kama hiyo itakusumbua tu tena aana mpya ndogo sana unaweza kupata 80Gb so opt kununua 80 na sio 40 utauziwa used aambayo maisha yake hayatakuwa maref. na kati ya vitu ninavyokuwa navyo makini sana ninaponunua computer used huwa ni HDD maana ndiyo inayo wear na ku tear upesi katika kila computer.
Kama mdau hapo alivyosema, hdd ndogo zinasumbua kupata lakini unaweza pata 80, hata 320 kwa elfu 80
thanx mkubwa...
so for del latitd 610 ya 1GB ram na procesor ya 1.5ghz nkiweka iyo ya 80gb haitazingua au ntaitajika niongeze na anothr ram?
Huna haja ya kuongeza ram na wala haitazingua mkuu
Dah asante sana mkubwa..
so naeza kuzibuy wap iyo ya 80GB na maximum kabisa wanauza kwa ngap?
Kkoo wanauza sana tu juzi nimenunua gb 320 mpya kwa laki 1 so gb 80 itakuwa cheap than that
asante sana mkuu..
ntaenda kucheck na mimi cku za karibun