Yani kuna ngoma kibao zimewekwa ndani WCB, lengo lao kutaka tu kupinzana na Konde Boy.
Eti Rayvany Mr Nyegezi katoa ngoma 5 bada ya jeshi kutoa. Sasa Diamond anasubiri siku tu Harmo akitoa ngoma na yeye atoe zake, hahahahahaha! [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]