Wale ambao tumeshawatoroka mademu Alfajiri hoteli/guest au kuwatoroka Bar ili kuogopa bili kubwa: Tukutane HAPA

Nimekumbuka kuna jamaa yangu aliwahi enda na dem Hotel, tukachukua room double sasa nikiwa kitandani kwangu naskia jamaa anamwambia dem si uweke, dem kakazana weka wewe, mwisho wa siku jamaa kamwambia huyo dem shika uweke wewe dem kamwambia mbona siioni mi naona mkono, kumbe hicho anachokiita mkono ndo mashine yenyewe.
Sasa story yako imenikumbusha that day Mrs Jr.
Jamaaaa ana plug Kama mkono WA mtoto wewe hiyo lazima ukimbieee kuna wanaume wamebarikiwa plug Matata unaweza kuhisi anakutoboa lazima utoke ndukiiiii
 
Sio kama nyie lakini tena ww ulimtoa mtu Dar mpaka Moro na ukamkimbia
Mimi Kwa kukimbia story nyingi sana mwingine alikuwa Teacher nipo form 4 akanipa majibu ya mtihani eti weekend jumapil huwa tunatoka nje kusali nichukue namba yake nimbip alikuw anakaa Kama unaenda mbande huko chamanzi basi akaniachia 20000 nipande tax nisionekane alafu nimbip hiyo sku hata kanisani sikuenda J3 alivyokuja muda WA mchana akaniona nimekumbatia handsome Wa form 5 tulikuwaga tunapendana akatukamata akatuchapa viboko mbele ya shule nzimaaa eti ametukuta tunapiga denda ila handsome wangu nilishamwambia story jioni tukaenda canteen kujipoza na chips yai na soda Kwa ile helaa. Toka hiyo siku mwl alinichukia nahisi mpaka Leo.
 
But mkuu hawa watu sio wa kuzoea kukimbia. Malaya ana akili sawa na panya road au mkorea mweusi. Nilishawahi shuhudia jamaa anavunjiwa chupa kichwani bar.. Dem anadai jamaa alimtoroka lodge baada ya kupiga
 
huishi matukio wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom