Wakwere au wagogo

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
1,230
Reaction score
1,199
Habarini za week end, samahanini kidogo naomba wale wa juvi wa mambo amabo wametutangulia kwenye maswala haya au wamezunguka sana kujua tabia na mila na desturi za makabila haya.

Hapa nazungumzia kuoa mgogo je ni tabia gani hasa wanawake wakigogo ambao wanazo zitaniletea shida mbeleni, au nikioa mkwere ni tabia gani walizo nazo maana nimeambiwa nikioa mkwere nijianda kwenda kumfata wife ngomani kila siku kwenye vigodoro. Ushauri jamani, asangen
 
Wagogo sikushauri boss. Nimekaa nao sana. Wavivu, halaf so productive sana yaani. Hawakupi mawazo mapya. Wao ni kula , kuoga, na kuzaa watoto. Lakin si kwa wote.

Wakwere afadhali kidogo.. japo kuwa hawa ni watu wa maneno kama wazaramo
 
Kwa sasa unao wawili sio?!
Kah hahahhah Evelyn Salt umenifumania dah .ila hapana sina hata mmoja kati yao ila ni wapo na maisha yao sasa nawish nimbebe mmoja sasa ndio napimia. Ila wewe ulikuwaga target sijui ulipoteleaga wapi wewe mtoto wakindengereko
 
Wagogo sikushauri boss. Nimekaa nao sana. Wavivu, halaf so productive sana yaani. Hawakupi mawazo mapya. Wao ni kula , kuoga, na kuzaa watoto. Lakin si kwa wote.

Wakwere afadhali kidogo.. japo kuwa hawa ni watu wa maneno kama wazaramo
Thanks boss kwa ushauri mzuri
 
Unao wawili wote umewapanga, waolewaji tuna kazi, Ww chagua mmoja oa mwingine acha akaumie na maumivu
Hahahah mathika sio hvyo bana ni kwamba hawa watu wapo ila all i want to pick one of them, so naangalia walau mwenye uafueni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…