Wakwepa kodi wanaonja maumivu Dubai

Wakwepa kodi wanaonja maumivu Dubai

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,170
Reaction score
20,202
Wale wakwepa kodi kutoka Ulaya waliokimbilia Dubei na falme za kiarabu kwa ujumla wanaonja maumivu ya maisha baada ya Iran kushusha mabomu.

Walikimbilia Dubei na kuhamishia makazi yao huko kwasababu unafuu wa kodi ukilinganisha na ulaya.

Yale mapicha picha waliokuwa wakiposti kwenye mitandao ya kijamii wakiwaringishia wenzao ambao wako kwenye baridi wakitozwa kodi zaidi ya 36% hawaposti tena kwani wako lock down.

Safi sana Iran kwa hili. Yani tuko zetu huku tunachamba rindaz za vikongwe nakukatwa kodi kubwa mabwenyenye yako tu huko tax free yanaenjoy unlimited sunlight. Sasa wote tuko sawa.

Nyau de adriz
 
Mshahara wako TSH ngapi kwa kazi unayofanya Mamtoni ?

Nataka nikitua Mamtoni nikupe mchongo uje wa kusafisha Geto langu nitakuwa nakulipa DKK 2, 500 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom