Wakuu wa wilaya na siasa

Wakuu wa wilaya na siasa

saivan

Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
15
Reaction score
8
Wadau binafsi najiuliza sana na kubaki sina majawabu ninapoona wateule hawa baadhi ya ma DC wakikimbizana majimboni katika kipindi hiki cha chaguzi za chama kwajili ya kuweka mitandao yao ya 2020. Hivi ni kwamba nafasi za kuteuliwa walizonazo sasa ni ndogo sana ama?

Lakini wengine tunawaona hata hizi walizoaminiwa na mkuu hawazitendei haki ipasavyo na wamepwaya kabisaa. MFANO DC wa Kinondoni sasa hivi kila mara anaibuka kondoa mjini.

Fanyen kazi mlizopewa na mkuu kwanza achaneni na siasa hadi 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom