dyeanka
Member
- Jun 19, 2016
- 96
- 70
Nimemekuwa nashangazwa pale ambako mkuu wa Wilaya au Mkoa kumpigia kampeni mgombea ubunge watu wana lalamika sana kuwa ni viongozi wa Umma na sheria yanmaadili yanviongozi wa umma inakataza. Vipi kuhusiana na Mawaziri wao sheria ya maadili ya viongozi wa Umma haiwahusu?
Miongoni mwa watumishi wa Umma wanaotambulika kisheria Mawaziri pia ni miongoni mwao, ikijuishwa na wakuu wa Wilaya na Mikoa, ukienda mbali zaidi hawa wote viongozi wanaotokana na utashi wa kisiasa kwa maana wanaweza kutetea vyama vyao. Kwanini tatizo liwe kwa DC ad RC na sio Mawaziri?