Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,797
Hii nchi yetu ina mambo kweri kweri, sasa hivi kila pembe ni mbio za ujenzi wa madarasa n kuyazindua. Tanzania inaenda kupambana na hali ngumu sana ya maisha hasa sehemu kubwa kukosa mvua za kutosha. Tunamaliza kujenga madarasa tunakumbana na njaa. Ruvuma wameanza kuona tishio mpaka wameitisha kuomba na kusali mvua inyeshe. Ummy Mwalimu yupo busy kujinasibu SSH kajenga shule 3000. Yaani hapa SSH akigeuza kauli tu kila kitu kinafuatwa na Waziri wa Kilimo nae kanyamaza na Bashe wake.