Ahsante kwa mada hii nzuri,imenikumbusha mengi mazuri ,hao Generals wa role mbili za juu salute kwao,wamepiganisha vita,kuanzia za ukombozi wa Africa hadi na Uganda na hawakuwa na blue lights convoy,simple kabisa,namkumbuka sana T.Kiwelu pale nyumbani kwake karibu na ilipokua Hotel karibu (ladwas),simple guy ,always greeting n good smiles