zakayoyoung
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 140
- 39
- Thread starter
-
- #41
Ndio
Huku moshi zinauzwa 20 ha 25 elfuAaaa hapo sawa mkuu ila naitamani sana nitengeneze amplifier ya transistor ila goja nikanunue kwanza transformer kumbwa ase hivi transformer yenye power supply ya volt24 inauzwa shii ngapi mkuu
5000Aaaa pw kumbe zina bei sanae ....ok vp na transistor moja ni shingapi kwa huko mkuu
Achana na mchoro nunua kiberiti cha usb sd na fm tafta volt tano na l and r sound kazi tayali msaada zaidi nifollow fb jina hilo
Achana na mchoro nunua kiberiti cha usb sd na fm tafta volt tano na l and r sound kazi tayali msaada zaidi nifollow fb jina hilo
ni lugha ya kitaa ni circuit yebye fm radio usb na sd cardHicho kiberiti kazi ake nini mkuu
ni lugha ya kitaa ni circuit yebye fm radio usb na sd card
poa si kukusoma poa hapo design tu mchoro mchawi ni Ic basAaa ok mi nilitaka component za amplifier mkuu