zakayoyoung
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 140
- 39
- Thread starter
-
- #21
Achana na IC. Tafuta michoro ya Transistors ina nguvu/ Wattage kubwa sana
Mkuu mpaka hapo itabidi nikubali maana wewe ni wa pili umenishauri kuhusu nitumie trasistor
Labda nikuulize mkuu je nikinunua trasistor za aina mojoja ninaweza nikatengeneza power amplifier kweli maana nimeona michoro mingi wanazichanganya transistor tofauti tofauti mkuu hebu nieleweshe hapo
Inategemea na alie buni mchoro. Ila kwa upande Transistors kukaa za aina moja au tofauti inategemea na kuwa iyo transistor imetumikaje. Nyingine sio za kufanya Amplification bali ni kufanya Filtering, na yingine ni kuzuia Feedback na mambo mengine. So inakubidi kuuelewa kwanza mchoro
0625 739 882
0768388482
Hizi namba ni zako mkuu au ni kwaajili ya kunisaidia huhusu mawasiliano ya mahitaji yangu mkuu
Huyo anaprint PCB
Asante mkuu hebu nishauri transistor zipi zina nguvu sana ili nikanunue pia ni zinatumia volt ngapi na kila transistor moja inatoa output watt ngapi mkuu
Hakikisha unatumia MOSFET Transistors. Hizi zina nguvu sana
Aaaa ok asante..ila kuna mchoro nimeucheki sahivi hapa sijui sasa transistor hizi kama zina power ya kutosha etView attachment 1097938
Alafu pia MOSFET zipo zina namba tofauti tofauti sjui zenye namba zipi ndio nzuri mkuu
Namna rahisi ya kujua power ya amplifier ni kuangalia input Voltage. Zikianzia 15 + ujue icho kitu ni balaa
Mkuu mimi nimetengeneza hiyo ni kisangaView attachment 1098049
Nisawa pia hongera ...ila vipi unaweza kunisaidia na mini nika print mchoro wangu mkuu
Mimi siku print na mm ni fundi eletroniki na kwa swala la kuprint sijui
Mimi siku print na mm ni fundi eletroniki na kwa swala la kuprint sijui
Na repair na ninatengeneza mwenyewe kikubwa ukielewa Eletronics components haikupi shida wewe unauelewa huo?Ok we unafanya electrical gani labda
We ni una repair au una creat vyako kabisa
Na repair na ninatengeneza mwenyewe kikubwa ukielewa Eletronics components haikupi shida wewe unauelewa huo?
NdioYea kwahio ma wewe unatumoa zero pcb tu yani ile yenye matundu mengi kuacha za Ku print et?