Wakuu wa electronic msaada tafadhalin

zakayoyoung

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
140
Reaction score
39
Nimeunda amplifier nimetumia tda2030 na tda2050 ni nzuri kama inavyoonekana pia inatoa sauti nzuri tena ya kutosha..

Ila nilichotaka kusaidiwa ni kwenye ile system ya SD card inayo toa small signal nataka niiuganishe na ic ya FM radio ili zifanye kazi kwa pamoja yaani nikiiwasha bila kuweka memory card ifanye kazi kwenye FM
Alafu nikiweka memory card fm izime memory card ifanye kazi


Naamini wajuzi wapo nisaidieni
 
Kazi nzuri. Ic ya FM ndio ipi iyo. Labda useme una Media palyer ya kichina unataka uunganishe na amplifier yako.

Sasa suala la kichomoa SD card na yenyewe ku shift kwenda FM ilo sisi hatuwezi kukusaidia. Maana ni uwezo binafsi wa icho kidude cha kichina
 
Poapoa mkuu kama hivyo haiwezekani labda nitumie njia gani au ic gani nitakayo weza kutenenezea system kama hiyo yaani lengo langu FM iwepo pia SD card mkuu

Na kitu kingine ambacho sipendelei ni ule mfumo wa kutumia genge kutafta steshen yaani kuzungusha zungusha sitaki ndiomaana nataka kama kuna uwezekano unielekeze nitumie ic gani inayofanya kazi kwa kutumia push batan
Yaani mambo yote niwe nabonyeza tu

Mkuu nisaidie
 
Utapoteza muda Bure. Nenda dukani nunua media player ya kichina sh. Elfu 10. Ina SD, Flash, Fm, Bluetooth.

Kama lengo lako ni kuunda kwa mikono yako badi ingia google Tafuta mchoro ambao components zake zinapatikana na utengeneze
 
Hizo unazozisemea wewe ni sawa hata huku zipo lakini gengo langu ni kujaribu kubuni angalau kidogo mkuu
Utapoteza muda Bure. Nenda dukani nunua media player ya kichina sh. Elfu 10. Ina SD, Flash, Fm, Bluetooth.

Kama lengo lako ni kuunda kwa mikono yako badi ingia google Tafuta mchoro ambao components zake zinapatikana na utengeneze
 
Hapo tumia karedio kadogo ka kichina na nibei poa au kale karedio kamelingana na saa kanafaa sana
 
Poa poa mkuu michoro ipo migi ila huku hamna PCB mkuu yaani PCB zipo hizi za zero PCB ila sile za Ku print mchoro afu uhamishie kwenye PCB huku hazipo mkuu

Afu sijui zinapatikana wapi asw
Ingia google tafuta mchoro tu
 
Zipo kibao tu. Ww ndo hujaamua. Chora mchoro wako/ Circuit diagram kisha ibadili kuwa PCB dhen unaenda ku print PCB zako. Tena bei cheee. Tafuta mtu anasoma DIT. Mm nilikuwa naprintia hapo
Poa poa mkuu michoro ipo migi ila huku hamna PCB mkuu yaani PCB zipo hizi za zero PCB ila sile za Ku print mchoro afu uhamishie kwenye PCB huku hazipo mkuu

Afu sijui zinapatikana wapi asw
 
Hilo pia wazo mkali nakukubali sana ila kwa njia hio ilabidi nitumie ntransistor ya 7805 kwaajili ya kupooza volt 12 za kwenye amplifier ili ziende volt5 kwenye hako ka redio afu ni chukue zile small signal nizipeleke kwenye amplifier afu mpaka hapo mambo yatakua fresh au sio
Hapo tumia karedio kadogo ka kichina na nibei poa au kale karedio kamelingana na saa kanafaa sana
 
Sehemu gani mkuu nionyeshe bsi chapu kama kuna uwezekano nika print maana na vitu vingi nakini vingine vimrkosa mkao kwa kulokua kwenye PCB mkuu
Zipo kibao tu. Ww ndo hujaamua. Chora mchoro wako/ Circuit diagram kisha ibadili kuwa PCB dhen unaenda ku print PCB zako. Tena bei cheee. Tafuta mtu anasoma DIT. Mm nilikuwa naprintia hapo
 
Google is a Resource ndugu yangu ukubali au ukatae.

Mfano mdogo tuu. Mtu anataka atengeneze amplifier ya TDA 2050. Kwa kifupi hakuna ubunifu anaweza fanya sababu hiki kitu ni Ready made. Zaidi sana akitengeneza kwa mkono wake ata improve Skills tuu
uwezo wa kufikiri wa watanzania umemalizwa na google
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…