Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,102
- 26,139
Wakuu nipeni msaada,,ishu ni hivi kuna mademu ukienda night club huwabambii bila kuwanunulia bia ,sasa naombeni mnipe msaada wenu nifanyaje ili niwabambie bila kuwanunulia bia maana muda mwingine unapata demu mzuuuuri takoo laini halafu anakuomba umnunulie bia ili umfaidi lakini kidume muda huo mfuko umechacha yani mavumba huna kabisa na kumuachia mtoto aende zake huwezi
Nipeni mbinu wakuu juu ya suala hili.
Nipeni mbinu wakuu juu ya suala hili.