Swali uliloleta hapa Mungu tayari alishalipa majibu mazuri sana katika uislamu. Mungu alituhalalishia ndoa katika uislam kwa faida ya mambo mengi sana 1 likiwa hilo la kupata watoto, utulivu na mengine mengi yapo, na utashangaa yote yamefafanuliwa vizuri sana katika Quran na hadithi za Rasullu Allah s.a.w., Utajiri sio kuwa na fedha tu kama wengi wanavyofahamu., Ndio sisi waislam ukifikia umri wa kuona tunahimizana kufanya hiyo nusra ili kupata kupata majibu sahihi likiwemo hilo la uzeeni bila ya mtoto kama dini yetu ilivyotufundisha. Mungu anajua yote hayo ndio tumehalalishiwa.
lakini ikiwa wewe sio muislam samahan sana usitukane.
Kisukari, presha, tezi dume, arthritis, kiuno... na mazaga zaga mengine yakianza kurindima wakati huna wa kumtuma hata maji ya kunywa tu dukani, unatarajia nini?