Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Akijibu nistue niko bizze kuandaa futaliEti utakua mgeni wa nani😂😂😂😂
Kwanini amekuacha?
Umeachika mkuu hujaachwa
Eti utakua mgeni wa nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini amekuacha?
Akijibu nistue niko bizze kuandaa futuru
Tatizo nini hadi umeachwa?
Wapende ndugu zako hao wengine ni kupotezeana muda
Ulimfanya nini mkuuKaka yani bora nagenibloku, kafuta kabisa account wasap hayupo kabisa [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiona nimekot wadada humu inakua kesi anadhani namchukulia poaTatizo nini hadi umeachwa?