Wakuu natafuta account ya Bolt ya gari

Wakuu natafuta account ya Bolt ya gari

Ai ufungue Yako...siku hizi hizo account verification yake ni lazima mmiliki ajipige picha kuingia kwenye mfumo...Yani inafunguka Kwa kujipiga picha muda huo huo inajiscan Kisha ndio app inafanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom