Wakuu naomba kujua hili:

Wakuu naomba kujua hili:

Joxee

Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
7
Reaction score
2
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefaham ukwel kuhusu hili je ni ukwel kuwa laptop ambazo ni refubric haiwez kuongezewa hard disk au kubadlishwa hiyo had disk? Cuz mmi nna hp envy ina ssd 32gb vpi siwez kubadili na kuweka ssd au hhd kubwa zaid?
 
Mkuu hio Lap Top au sanduku la nyoka???
Bado tu unatumia LP yenye hard disk 32..!!!!
Kweli nimekukubali,,,
Halaf hapo hapo unataka kuifanyia marekebisho
Hii ndio maana halisi ya
Bumper To Bumper
 
Back
Top Bottom