Ukback255 Senior Member Joined Aug 31, 2016 Posts 174 Reaction score 278 Jan 7, 2017 #1 Yaani ni hatari madawa ya kulevya yanatisha sana Kiukweli Serikali isipochukua hatua tutapoteza nguvu Kazi ya vijana yaani ni majonzi makubwa . Kama mnakumbuka Daz Baba alivyowika sana wakiwa ndio waanzilishi wa bongo freva kiukweli ni masikitiko makubwa .
Yaani ni hatari madawa ya kulevya yanatisha sana Kiukweli Serikali isipochukua hatua tutapoteza nguvu Kazi ya vijana yaani ni majonzi makubwa . Kama mnakumbuka Daz Baba alivyowika sana wakiwa ndio waanzilishi wa bongo freva kiukweli ni masikitiko makubwa .
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,786 Jan 7, 2017 #2 Duh noma sana!
KIKOSIKAZI JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 2,219 Reaction score 1,150 Jan 7, 2017 #3 Safi kabisa, watu wanajifunza kwa kuona na si kusikia. UKIPATA NAFASI YA KUBWIA UNGA, WE BWIA KADRI UWEZAVYO.
Safi kabisa, watu wanajifunza kwa kuona na si kusikia. UKIPATA NAFASI YA KUBWIA UNGA, WE BWIA KADRI UWEZAVYO.
Madrid86 JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,328 Reaction score 692 Jan 7, 2017 #4 Wakati hawajafika hali hii mbona hamuwaleti huku hata tuwashauri/kuwasifia ili wakaze buti zaidi au wabadilike. Wakshafkia huku kla mtu anampost. I think it is not fair
Wakati hawajafika hali hii mbona hamuwaleti huku hata tuwashauri/kuwasifia ili wakaze buti zaidi au wabadilike. Wakshafkia huku kla mtu anampost. I think it is not fair
Ukback255 Senior Member Joined Aug 31, 2016 Posts 174 Reaction score 278 Jan 7, 2017 Thread starter #5 KIKOSIKAZI said: Safi kabisa, watu wanajifunza kwa kuona na si kusikia. UKIPATA NAFASI YA KUBWIA UNGA, WE BWIA KADRI UWEZAVYO. Click to expand... Daaaah yaani ni hatari sana
KIKOSIKAZI said: Safi kabisa, watu wanajifunza kwa kuona na si kusikia. UKIPATA NAFASI YA KUBWIA UNGA, WE BWIA KADRI UWEZAVYO. Click to expand... Daaaah yaani ni hatari sana