Wakuu mniombee

Acha uoga. Kazana kusoma.Acha kabisa kuchati mitandaoni.Aliyekudanganya kuwa Maombi yanafaulisha mitihani ni nani?
 
Kila la kheri,nina imani Mungu kakuumba na utashi wa kutambua bila juhudi binafsi hata maombi na sala zetu hazitakusaidia kitu kwenye kufaulu kwako so kasome kijana.
 
Maombi yanaaza na ww . Jitahidi uache utoto na uzingatie yale ya walimu wako. Mshirikishe Mwenyezimgu kwa kila utendalo. Kwa uhakika Utafaulu bila pingamizi....
 
Kumbe ....tunaishi na student ....humu
Anyway mwnyw nipo nmemaliza mwaka Jana soma sana uje MZUMBE kula boom la HELSB
Mkumbushe pia deni linapanda kila siku ukienda kuangalia salio unakuta bilion 40?
 
Ili tukuombee sala zikufikie ondoka kwenye magroup ya ajabu ajabu huko telegram, la sivyo kwenye mtihani utaona maluweluwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…