Ni 2.4 sio 2.5 L
Hiyo 2.4 walitumia ya Ford ndio maana wanaiogopa na 2.2 ina DPF
Ningekua mimi ningeangalia vigezo vingine maana zote nzuri kama viko sawa ningeenda na 2.4
Pita na 2.2L sababu injini ya 2.4L ilikuwa na matatizo ya oil pump na vacuum pump ambayo yalisababisha injini nyingi kufa mapema, kwahyo kwenye 2.2L walirekebisha mapungufu hayo