Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Duuuh maendeleo tanzania ni ndoto.Napenda sana kutumia condom ila cha ajabu Mara zote nilizovaa ndomu changamoto inakuja kila nikimaliza game nakuta nimebaki tu na kile kimpira tu kama barabendi condomu yote ilipopotelea sijui hali hii inanitokea kila Mara hata Mara moja condomu haijawahi kutoka salama!
Nimejaribu kununua hata zile za bei kubwa lkn hali ni ile ile nakwama wapi mabaharia wenzangu!?
Hawa ndo wanastahiri kupimwa mkojo!
Hata hivyo inaonyesha unanyota ya magonjwa pasua kichwa.
Duuuh maendeleo tanzania ni ndoto.
Acha kutumia virobaHawa ndo wanastahiri kupimwa mkojo!
Hata hivyo inaonyesha unanyota ya magonjwa pasua kichwa.
😂😂😂😂😂 dahTumia Rambo mkuu
Sawa mkuu!ila tatizo ukionja kiduchu inaitwa shoo mbovu na unaweza kutangazwa kama gwaji boyUkiwa mwizi usitake kuiba sana, onja kiduchu tu kabla hujapata pancha! Angalizo:/ AIDS is real
Mkuu hii issue ni serious kweli, labda nahisi kwa vile huwa natumia muda mrefu kidogo inapata motoKupasuka kwa Condom ni hatari sana! Mara nyingi kunasababishwa na rough sex au condom kutokutunzwa vizuri kama inavyoelekezwa au pia unakuta unavaa kondom kisha unapaka na mafuta mengine wakati tayari INA mafuta.
UKIMWI upo, Kaswende, fangasi, gono, pangusa na mengine yapo! Yapende maisha! Wengine walishakata tamaa! Ukiwa salama Leo doesn't necessarily means utakua salama always.
Ngoma inatesa sana sana
Tena ya alinachaDuuuh maendeleo tanzania ni ndoto.
Hahahah... unafanya kukomoa? Pia hufuati maelekezo ya kuvaa. Au ndom kwako ni undersize.Napenda sana kutumia condom ila cha ajabu Mara zote nilizovaa ndomu changamoto inakuja kila nikimaliza game nakuta nimebaki tu na kile kimpira tu kama barabendi condomu yote ilipopotelea sijui hali hii inanitokea kila Mara hata Mara moja condomu haijawahi kutoka salama!
Nimejaribu kununua hata zile za bei kubwa lkn hali ni ile ile nakwama wapi mabaharia wenzangu!?
hakuna atakaekupinga mkuu, upo sahihiGoli moja
Kondomu moja
Huo ndio utaratibu
Swali: Je, ulikuwa ukiufuata huo utaratibu?
Kondomu si vema kuhifadhiwa kwenye mfuko wa suruali
Huo ndio utaratibu
Swali: Je, ulizingatia hilo?
Kondomu kabla ya kuifungua, minya minya kuhakiki kuteleza kwake mle ndani. Kiashiria cha uwepo wa mafuta. Usipoona hivyo, haifai kwa matumizi.
Huo ndio utaratibu
Swali: unazingatia
Kondomu huvaliwa uume ukiwa umeshasimama lakini pia huyo unayeshiriki naye ngono, hakikisha umemuandaa na ameandalika vema. Uke wake utoe ute wa kuruhusu tendo kufanyika pasipo msuguano mkali. Usiwe na pupa kama unatumia kondomu.
Huo ndio utaratibu
Swali: Je, unazingatia
Kondomu haivaliwi kwenye uume uliotiwa viungo (vumbi la Kongo na vitu vya kufanana na hivyo). Zingatia lishe nzuri na mazoezi ili kuimarisha uwezo wa uume wako kupiga mzigo. Hata hivyo si vema kwenda kwa zaidi ya dakika 13 (hapo nitapingwa balaa).
Huo ndio utaratibu
Swali:Je unazingatia hilo?
Kondomu staili yake pendwa ya ngono ni missionary a.k.a gwaji boy style. Usilete ufundi mwingi wa staili za ngono ukiwa na kondomu. Brand nyingi hazina uvumilivu wa maufundi yetu ( najua nitapingwa sana ila ndio hivyo)
Huo ndio utaratibu.
Kila la heri