Wakuu, hivi Mbowe yuko wapi?

Hivi huwa mna matatizo ya akili? Mnachokoza watu mkijibiwa mnaanza kulia hovyo. Mbowe yuko zake kimya ila hamridhiki. Andaeni mawakili wa kuwatetea Heche, Mwaipaya, Hilda na wengine wote waliochochea uhalifu kutendeka.
Mtu wa ccm anamtetea Mbowe makubwa
 
Anguko lake lilikuwa kubwa liliharibu kila plan zake, yeye na wafuasi wake wote wako kimya, hata Boni Yai hasikiki.
 
Mr. Dalali, Tapeli la kisiasa alifutwa kwenye ramani ya siasa za TZ na Tundu lisu
 
Namtafuta muliro sijamsikia post election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…