WAKUU HII IMEKAAJE ??

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Habari za muda wakuu..

Niende kwenye mada;

Hivi kwanini mwanamke akichepuka inakuwa ngumu kwa mwanaume kusamehe tofauti na mwanaume akifumaniwa akichepuka? [emoji848]
 
Kwa sababu wanaume katika mahusiano ndo tunabeba kila kitu kwa hiyo mwanamke akichepuka ni dharau kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…