Wakuu habari za mjengoni naomba niwataarrifu kuwa nina gari nauza aina ya marcedes benz sprinter van model 2008-9

puruwanji

Member
Sep 22, 2018
81
28
Marcedes sprinter van ina seat 25 ila ina tatizo imekata moto na engine yake ni system ya umeme toka ilivyoshuka zanzibar haikuwahi fanya kazi ila ishasajiliwa kwa kazi daladala haikuwahi fanya ndio ikakata moto sasa kwa yoyote atakae vutiwa na hii gari anaweza kuwasiliana na mm kwa namba 0772431041.

Nauza kwa bei ya hasara kabisa maana kuna kuna njia mbili ubadilishe engine na kuweka ya kawaida isio na system ya umeme au upate fundi mzuri sana mwenye kujua gari za umeme na bei yake 6.5 millioni.. robo ya bei robo ya bei iliocost hio gari na picha utaweza kuziona hapo chini
 
Marcedes sprinter van ina seat 25 ila ina tatizo imekata moto na engine yake ni system ya umeme toka ilivyoshuka zanzibar haikuwahi fanya kazi ila ishasajiliwa kwa kazi daladala haikuwahi fanya ndio ikakata moto sasa kwa yoyote atakae vutiwa na hii gari anaweza kuwasiliana na mm kwa namba 0772431041.. nauza kwa bei ya hasara kabisa maana kuna kuna njia mbili ubadilishe engine na kuweka ya kawaida isio na system ya umeme au upate fundi mzuri sana mwenye kujua gari za umeme na bei yake 6.5 millioni.. robo ya bei robo ya bei iliocost hio gari na picha utaweza kuziona hapo chini
U
 
Attachments

  • 20190325_080711.jpg
    20190325_080711.jpg
    62.4 KB · Views: 62
  • 20190325_080711.jpg
    20190325_080711.jpg
    62.4 KB · Views: 49
  • 20190325_080653.jpg
    20190325_080653.jpg
    69.8 KB · Views: 55
  • 20190325_080649.jpg
    20190325_080649.jpg
    79.3 KB · Views: 58
  • 20190325_080630.jpg
    20190325_080630.jpg
    94.8 KB · Views: 56
  • 20190325_080614.jpg
    20190325_080614.jpg
    104.1 KB · Views: 51
  • 20190325_080548.jpg
    20190325_080548.jpg
    98.7 KB · Views: 50
  • 20190325_080510.jpg
    20190325_080510.jpg
    91.7 KB · Views: 48
Kwa hayo mattzo mil6 unasema ni hasara
Au haujui kwamba gari ni engine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Engine bei zake huku kwetu zenj mlln 3 unapata ila hio gari maana ya kukuamnia hasara mm imenicost millioni 13'000'000/- mpaka inafika znz mbali cost nyengine kama za kuweka seats 25 za abiria na n.k ndio maana nikakuambia hasara na nauza bei 6m ili mwenye kuvutiwa na kutaka na yeye aweze kushuhulikia mambo mengine
 
Marcedes sprinter van ina seat 25 ila ina tatizo imekata moto na engine yake ni system ya umeme toka ilivyoshuka zanzibar haikuwahi fanya kazi ila ishasajiliwa kwa kazi daladala haikuwahi fanya ndio ikakata moto sasa kwa yoyote atakae vutiwa na hii gari anaweza kuwasiliana na mm kwa namba 0772431041.. nauza kwa bei ya hasara kabisa maana kuna kuna njia mbili ubadilishe engine na kuweka ya kawaida isio na system ya umeme au upate fundi mzuri sana mwenye kujua gari za umeme na bei yake 6.5 millioni.. robo ya bei robo ya bei iliocost hio gari na picha utaweza kuziona hapo chini
Funguka zaidi,Mercedes Benz sprinter model ipi
 
Mkuu ukishanunua gari aina ya

marcedes benz ni sawa na umeoa na kufunga ndoa ya kikristo na mke wa pili. Haliuziki ni lako hilo.pole sana​

Hahahaa! Ndoa ya kikristo! Kilichofungwa duniani ndio kimefungwa mbinguni! In short akapime screpa tu.
 
Back
Top Bottom