Jamaa kwenye picha ya chini kulia nimemwona kwenye documentary nyingi zinazohusu utalii Carribean islands,anafanyakazi kwenye Museum of Bob Marley,Jamaica.Ni kama ni mlinzi au guide. Anavuta sana banghi,halafu funny sana,nakumbuka jinsi anavyocheka,lazima na wewe ucheke.Huyu jamaa anafuyahisha sana.