N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,349
- 10,765
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa George Simbachawene amewasimamisha kazi wakurugenzi watendaji wa Manispaa za Kigoma mkoa wa Kigoma na wa manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kuridhia na kutekeleza maamuzi ambayo yamesababishia serikali hasara na upotevu wa fedha.
Ubadhirifu huo unadaiwa kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya shilingi milioni 290 ambapo Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Mhandisi Boniface Nyambele anakabiliwa na tuhuma ya uuzaji wa nyumba za Halmashauri huku Mkurugenzi wa Manispaa ya Mpanda akikabiliwa na tuhuma za ununuzi hewa wa gari la kusombea taka.
** wanaisoma namba***