Mkuu click search kwa hapa JF andiko la super gro kwa kuku na samaki utaona Uzi wangu nimeeleza kila kitu Kinaga ubaga,
Asante
Mi mkuu bado sijakupata,hivi hii kitu ni mbolea au unahitaji kuitumia sambamba na mbolea? naomba na bei yake kwa lita tafadhali..
Wale wateja walionunua super gro Walete mrejesho Hapa na wengine wafaidike
Cc Safari etal
binafsi nimetumia hii mbolea, kiukweli ipo vizuri sana. niliitumia kwenye mahindi inasaidia sana kwenye ubebagi, mahindi yalikuwa makubwa, pia inasaidia hata mimea iliyokuwa dhaifu au duni kubeba mahindi makubwa. kiukweli imekuwa mkombozi kwangu.Tunaomba mrejesho wa matumizi ya super grow