hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Wakulima wengi wa Tanzania wanalimia sifa ili waonekane ni wakulima.
Kwa mfano kama zao la mahindi ni bora ukanunua mahindi kuliko ukalima mwenyewe.
Kwasababu ukipiga hesababu ghalama za uuzaishai ni kubwa kuliko kipato unacho pata.
Unakuta mkulima amehangaika msimu mzima kuandaa shamba kuweka mbolea kupalilia.
Lakini mwisho wa Siku anakuja mfanya biashara anakuja kumpanga bei na wakati huo hajui mkulima ameghalamia sh. Ngapi?
Kwa mfano kama wakenya walisha kuwa watu wajanja sana na wanajua wakulima wengi wa Tanzania wengi hawajasoma na ni mambumbu kwahiyo wakija Tanzania kununua mazao wanataja bei wanazo taka wao.
Na hiyo ilifikia wakati wakulima wengi walikata tamaa.
Dawa sio kukata tamaa.
Dawa wakulima lazima mpige hesabu na kuwa na umoja. na nyinyi wakulima ndio muwe mnapanga bei kutokana na ghalama za uzalishaji za mwaka husika.
Msipige hesabu kwamba ukulima ni ukulima tu. lazima mpige hesabu kwamba ukulima nao ni kama biashara ukinunua kitu 1000 lazima nawewe uuze 1500 ili uweze kuiendeleza biashara yako.
Mkifuata ushauri wangu wakulima hamtakuja kujuta kuwa wakulima.