ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Dah hilo jina mbona linatisha..Basha tena . Ila nashukuru mkuu, niunganishe nae nizungumze nae nkaone na soko analouzia.Mkuu Pole madalali watajihami kabisa ukiwaachia mizigo sababu tu ya hilo jina. Asha ngedele.
Yaani ninakoment huku nikiwa nafikra na mtu gani huyu.
Ok Asha Ngedele nitakuunganishia kwa dalali moja yupo humu JF kwa jina Basha Wako. Mtafute au
Pm Basha Wako atakusaidia
Huyo Mkuu ukienda mzima mzima atakuwa Basha wako!Dah hilo jina mbona linatisha..Basha tena . Ila nashukuru mkuu, niunganishe nae nizungumze nae nkaone na soko analouzia.
Jina langu lisikutie sana mawazo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyo Mkuu ukienda mzima mzima atakuwa Basha wako!
Hakuna biashara isio na changamoto mkuuWafanyabiashara wa aina 3 wenye roho ngumu duniani ni wanaodeal na:
1.Network Marketing
2.Wakulima wa matikiti
3.FX traders.
Haha nililima tikiti asee ukiwa mtu wa kugive up kirahisi unaweza pata ugonjwa wa moyo... tikiti lina stress nyie acheni tuWafanyabiashara wa aina 3 wenye roho ngumu duniani ni wanaodeal na:
1.Network Marketing
2.Wakulima wa matikiti
3.FX traders.
Kwa hayo maelezo yako yaelekea na wewe ume-give up mana umesema ulilima. [emoji1]Haha nililima tikiti asee ukiwa mtu wa kugive up kirahisi unaweza pata ugonjwa wa moyo... tikiti lina stress nyie acheni tu
Msimu huu nimepumzika see niliponea chupuchupu kupata loss, nashukuru hela yangu tu imerudi, nibora nifanye Mambo mengine kuliko kutumia nguvu na muda mwingi alafu faida kiduchuKwa hayo maelezo yako yaelekea na wewe ume-give up mana umesema ulilima. [emoji1]
Kuna jamaa yangu alilima zikatoka na shape ya tango.....Haha nililima tikiti asee ukiwa mtu wa kugive up kirahisi unaweza pata ugonjwa wa moyo... tikiti lina stress nyie acheni tu
Haha poleni, tikiti ni timing ya maji madawa na mbolea.Kuna jamaa yangu alilima zikatoka na shape ya tango.....
Alilia kama mtoto sasa najiuliza mpaka sasa alikosea wapi
Nicheck pm nitakupe maelezo kamiliHabari wadau! Mimi nina taka kufanya biashara ya muhogo na nipo kivukoni Dar naomba mwenye kujua unapopatikana anijulishe tafadhal