Wakulima na kilio chetu

  • Thread starter Thread starter guest-1793102819
  • Start date Start date
G

guest-1793102819

Guest
Rais wetu kuna afisa kilimo anaitwa pilato pamfil yupo wilaya ya kilosa kata ya dumila hana msaada na sisi zaidi ya kufanya miradi yake ya ufugaji hawajali anaowahudumia zaid ya maslah yake tu yakufuga nguruwe!! Alihamishiwa kijiji katika kata ya mbigiri lakini alihonga abaki Dumila kwa manana ameahidiwa nyumba ya bure ya serikali anayokaa jamani huyu mtu ni janga wakulima tunalia kilosa dumila hatuna msaada
 
Hakyanani jiwe atarara nae mbere, huwa anapita humu saa tisa usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…