Wakubwa wajipanga kumdhibiti Rais Magufuli

StoneOliver

Senior Member
Dec 28, 2016
111
60
Kufuatana na katiba ya CCM urais ni muhula mmoja, ila Rais ana haki ya KUOMBA kuendelea akitaka.
13.png
 
Aiseeee Afadhari ya hivyo kuliko hiki au haya tunayoyashuhudia watumishi wamekuwa watumwa!

Awamu hii hakuna anaewasikiliza hata mmoja sio rais wala mawaziri wake.
 
Safi sana Magufuli,ongeza kubana,maana walikupenda wenyewe wala hukuwalazimisha.
 
2020 ni mbali sana wamuondoe hata kesho maana wananchi tumemchoka kabisa
Umechoka wewe uliezqliwa toka familiza ya wezi wa mali ya umma na wakwepa kodi. Sisi tunamtaka maana anatusafishia nyumba yetu iliyojaa kila aina ya uchafu. Poleni sana. Subirini 2025 na baada ya hapo tunaweka jembe jingine tena jina kapuni mpaka mnyooke na wizi muache.
 
Back
Top Bottom