sasa si ndio nakupigia pass ya mwisho, we huoni kama umebaki na golikipa hapo halafu unaanza kuniuliza "sasa mimi ni beki, nifanyaje"
nyoosha goti hilo mkuu!
sasa si ndio nakupigia pass ya mwisho, we huoni kama umebaki na golikipa hapo halafu unaanza kuniuliza "sasa mimi ni beki, nifanyaje"
nyoosha goti hilo mkuu!
Nikiwa home nakuwa mtu wahasira siongei na mtu napooza sana yani mpaka kero na nikitoka home nakuwa fresh kabisa hivi mnaweza kunisaidia nini tatizo hasa