Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Wakuu hivi tunaposali kabla ya kula huwa tunabariki chakula au tunaomba Mungu akibariki chakula?
#Diva_Beyonce Yesu alipokuwa akibariki mikate kule nyikani hakuwa akibariki kimoyo moyo . alibariki kwa sauti na makutano wote walisikia
ni vema uwe unabariki kwa sauti ila iwe ni very low volume
Kwangu mimi ni
(1) fursa nzuri kujinyenyekeza kwa Mungu na kurudisha Shukrani kwake kwa upaji wake wa Chakula. Ni wakati pia kuifanya familia yangu ijue si tu kwa sababu ya kazi ya baba yao ndiyo maana wanakula bali upaji wa Mungu....unaweza kuwa na Chakula lakini usiweze kula.....
(2) fursa nzuri kuomba Mbele za Mungu aweze kuwagusa wengine wenye uhitaji wa Chakula na akunjue mkono wake wenye Neema na kuwapatia Chakula
Because you are not a Christian. Going to Church does not make you a Christian. Why are you ashamed of Jesus Christ?sasa unabisha nini?? mi mwenyewe huwa sikibariki chakula kwa jina la yesu maana hajawahi kunisaidia! Bora nipige kimya kimya tuu
Amen and amen. You can pray in your heart na haina tatizo kabisa. Sio lazima watu wawe kama Mafarisayo na Masadukayo ili waonekane kuwa wanombamleta mada anadhani Wakristo wote ni sharti wafanye ishara ya msalaba kama ishara ya kubariki chakula. Ni Roman Catholic pekee wanao fanya hivyo japo nao si wote.
Mkuu nadani hujanisoma swali langu limelenga nini. Hapa nna maana ni sahihi mwanadamu wa kawaida mimi na wewe kusema "nabariki" chakula. Je binadamu ana uwezo wa kubariki chakula?
Au anamuomba Mungu akibariki chakula?
Because you are not a Christian. Going to Church does not make you a Christian. Why are you ashamed of Jesus Christ?
sasa unabisha nini?? mi mwenyewe huwa sikibariki chakula kwa jina la yesu maana hajawahi kunisaidia! Bora nipige kimya kimya tuu
Only a devil incarnate will say the above.alokwambia mimi sio mkristo nani?? wee vipi
Only a devil incarnate will say the above.
... and you are calling yourself a Christian, very sad. A Christian who says he is not ready to give thanks to Jesus/God because Jesus did not help him, what a pathetic and diabolical confession.Stupidity combined with arrogance and a huge ego, will get you a long way.
Let me refresh you mind:sasa unabisha nini?? mi mwenyewe huwa sikibariki chakula kwa jina la yesu maana hajawahi kunisaidia! Bora nipige kimya kimya tuu