Wakristo hawana neno msamaha

Nina majilani wangu wawili wa mashariki ni RC na magharibi KKKT, wa mejenga nyumba zao nzuri kama ya kwangu, kila siku kuu yetu tukichija tuna wapa nyama mbichi na pilau usiku, ila wenyewe hawajawahi kutupa chochote hu ni mwaka wa saba, ila kuna mpagaji wetu muendesha bodaboda muislamu hata akichija kuku atawapa wanangu tu wahonje haijalishi ni suku kuu au sio, hapo ndo ujue roho za hao watu hawana utu na urafiki na dini nyingine.
 
Hapa unasemea wakristo au dini? Sijaelewa ujue?
Elewa mtu kama hafanani na mafundisho ya Kristo huyo sio Mkristo.
Kwani Maandiko ya Kristo Yanasemaje Mkuu,Kuna Wakati Huwa Mpaka nafikiria Au Ndo Maandiko Yako Hivo Maana Wengi Wanasifa zilizotajwa Na mtoa Uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…