elishaezekiel
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 563
- 1,473
Japo mie ni muislamu,hoja za hivi sizipendiWakuu
Nimetumia mfano wa mafather na masister lakini huu ni mfano kuntu na jadidifu.
Hawa watu neno msamaha hawana akilini mwao.
Kila mwaka utasikia wana mwaka wa huruma ya Mungu lakini yeyote aliyewahi kuingia kwenye kumi na nane za hawa watu atashuhudia hapa.
Hadi huwa najiuliza why?
Wamejawa na hisia ovu sana hawa watu .
Hisia za kisasi, wivu, roho mbaya nk
Neno WAKRISTO halikutamkwa popote na Mungu baba ama yesu mwenyewe bali ni jina walilopewa wafuasi wa Kristo na wale wapagani kule antioki, ndiyo mara ya kwanza wafuasi wa kristo kuitwa Wakristo, kule antioki.
Viongozi Wakristo wa uongo wapo chungu mzima.
Hata rushwa makanisani ni nyingi kuliko misikitini.
Wasabato wa STU(South Tanzania Union)viongozi wao wameiba mamilioni hadi leo wameshindwa kuyaamua wenyewe.
Kwa upande mwingine ukiachilia mbali baadhi ya misimamo yao lakini kwenye suala la utu na hofu ya Mungu wenzetu waislamu wapo vizuri sana.
Hata kwenye suala la charity na kusema ukweli wapo vizuri.
Kanuni nyingi za dini/ falsafa ya uislamu zinafanya viongozi wa hii dini wawe watu wa utu sana.
Hata ukiangalia serikali zetu sita tangu wakati wa Julius Nyerere hadi sasa unaweza kujionea ni awamu zipi zilikua zinaongoza kwa mkono wa chuma na zipi watanzania walikua wanapumua na kusema afadhali.
Je Kanuni za kikristo hazifanyi zitoe viongozi wanaomuogopa Mungu?
Hofu ya Allah ni kubwa sana kwa wenzetu waislamu kuliko Hofu ya Mungu kwa Wakristo.
Katika kufanya kwangu kazi na watu wa aina tofauti Waislamu ni trustworthy kuliko Wakristo.
Hizi Pumba mkuu umetoa wapi?Wakuu

Halafu zamia Amerika au Ufaransa au south Afrika ukutane na mabandidu uone jinsi midume huko ilivyo mikatili..Marekani inaongoza kwa kuwa na wababe wengi kitaa kuliko Saudi Arabia..ukweli usemwe...Umeongea ukweli mtupu,ukienda mijini wapemba wazanzibar na waarabu wamejazana wanafanya biashara sababu kubwa ikiwa ni uaminifu.....ukienda Saudi Arabia,Oman,Bahrain hata Sudan na Somari yenye vita,....sahau kitu chako hakuna mwenye habari na wewe.
Ila kama kawaida huu Uzi utakuja kuharibiwa na wasiopenda ukweli.
Mtu m-Kristo ni mtu anayemfanana Kristo. Ni mtu mwenye tabia za Kristo. Ukiona mtu anasema yeye ni m-Kristo na hamfanani Kristo ujue huyo ni muongo. U-Kristo sio dini. narudia: UKRISTO SIO DINI!!!!!Wakuu
Nimetumia mfano wa mafather na masister lakini huu ni mfano kuntu na jadidifu.
Hawa watu neno msamaha hawana akilini mwao.
Kila mwaka utasikia wana mwaka wa huruma ya Mungu lakini yeyote aliyewahi kuingia kwenye kumi na nane za hawa watu atashuhudia hapa.
Hadi huwa najiuliza why?
Wamejawa na hisia ovu sana hawa watu .
Hisia za kisasi, wivu, roho mbaya nk
Neno WAKRISTO halikutamkwa popote na Mungu baba ama yesu mwenyewe bali ni jina walilopewa wafuasi wa Kristo na wale wapagani kule antioki, ndiyo mara ya kwanza wafuasi wa kristo kuitwa Wakristo, kule antioki.
Viongozi Wakristo wa uongo wapo chungu mzima.
Hata rushwa makanisani ni nyingi kuliko misikitini.
Wasabato wa STU(South Tanzania Union)viongozi wao wameiba mamilioni hadi leo wameshindwa kuyaamua wenyewe.
Kwa upande mwingine ukiachilia mbali baadhi ya misimamo yao lakini kwenye suala la utu na hofu ya Mungu wenzetu waislamu wapo vizuri sana.
Hata kwenye suala la charity na kusema ukweli wapo vizuri.
Kanuni nyingi za dini/ falsafa ya uislamu zinafanya viongozi wa hii dini wawe watu wa utu sana.
Hata ukiangalia serikali zetu sita tangu wakati wa Julius Nyerere hadi sasa unaweza kujionea ni awamu zipi zilikua zinaongoza kwa mkono wa chuma na zipi watanzania walikua wanapumua na kusema afadhali.
Je Kanuni za kikristo hazifanyi zitoe viongozi wanaomuogopa Mungu?
Hofu ya Allah ni kubwa sana kwa wenzetu waislamu kuliko Hofu ya Mungu kwa Wakristo.
Katika kufanya kwangu kazi na watu wa aina tofauti Waislamu ni trustworthy kuliko Wakristo.
Huyo jamaa anadhani u-Kristo ni dini. Amepotea.Hapa unasemea wakristo au dini? Sijaelewa ujue?
Elewa mtu kama hafanani na mafundisho ya Kristo huyo sio Mkristo.
Boresha kichwa cha habari. Sema wakristo wa bongo. Huko nigeria waislamu wana roho mbaya shetaani mwenyewe anaogopaWakuu