isaac vitalis shirim
Member
- May 15, 2013
- 14
- 2
Hivi mfano wakoloni waliotutawala wangekua ni WACHINA ingekuaje:-
1.miji na mashule mengi yangekua na majina ya kichina
2.kusingekuepo na dini mbili kubwa nchini kama RC na islamic badala yake ungekuta tunaamini akina budha na shaolin temple
3.kusingekuepo na haja ya kupoteza rasilimali ili kuwapa mafunzo polisi na migambo,kwan kila mtu angekua na uwezo binafsi wa kupigana kama kina toto tundujackie chan na jet li
4.kusingekuepo na kesi nyingi za ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia kwan kila mtu angekua na uwezo wa kujitetea physically
5.kungekuepo na idadi kubwa ya watu na shule za mafunzo ya kunfu.
6.Tanzania ingeongoza africa kwa kuwa na viwanda vingi vya kutengeneza vitu vya muda mfupi.
7.vingine vitaje...