Na nyumba kubwa amepotea naye!
Wengi sana hawapo,au hawaonekani inavyotakiwa,hawa ni baadhi
feis buku
@Klorokwin
Cantalisia
CPU
Sharo hiphop
Marytina (huyu alibeep kidogo juzi akatoweka) Wapo wengi sana,JF imebadilika sana siku hizi!
Mi nipo, ila daaah . . . .