Wako wapi walio sema Hezbollah kisha

Kwani Iran anapigana vita na US hahaha Israel inateketezwa huko we baki na story za Firauni na Mussa ndio utajua hakuna super power zaidi ya Mungu tu hata US ata tandikwa tu
Chuki zako kwa USA aziiounguzii nguvu yoyote Ile zaidi ya wewe kujiumiza tu kifikla
 
Wewe bado uko na hao wafu! Wenzio tumesonga mbele hadi mossadi wamekipata kitabu cha shetani Ayatollah Khamenei alichooandika namna ya kumt*mba mtoto mdogo

View: https://x.com/TRobinsonNewEra/status/1935735621751889955
 
NIPO Hapa

Hezbollah wanauliza Iran ilikuwa wapi wakati wao wanapigwa na Israel?

Wame apa kutokuwasaidia Iran kabisa.

Wanasema kila mtu acheze na ashinde mechi zake.

Soma mwenyewe hapo chini. Bonyeza kwenye MSN Chini.


 
Acheni washughulikiane wenyewe huko... Sisi tufanye yanayotuhusu huku kwetu kwa ustawi wa taifa letu. Tuna mengi kuyaweka sawa.
 
Hujui nguvu za Mungu wa Israel ambaye ndiye Mungu wa wakristo unaowaita mkanisa. Subiri atakushangaza
Eti nguvu za Mungu wa Israel! Msiingize Ukristo kwenye huu Ushetani wa hawa viumbe! Hivi kwa akili yako unaamini leo hii Kristo akirejea atafurahishwa na ushetani unaofanywa na hawa watu? Huyo Mungu unayemsema ni huyuhuyu ambae aliwafyeka mbele ya Mussa baada ya kutengeneza sanamu la dhahabu na kuliabudu au Mungu yupi? Mtume Paulo anatukumbusha kwamba sio kizazi chote cha Ibrahim ndicho kitabarikiwa na kufanywa taifa kubwa bali ni wale WALIOMKUBALI KRISTO! Je, hawa Wauaji kutoka Ulaya WAMEMKUBALI KRISTO? Wagalatia 3:7-9 inasema
Sasa unakuwaje na imani wakati humuamini Kristo? So endeleeni kuwaunga mkono lakini msichafue Ukristo kwa kuuhusisha na huo ushetani unaofanywa na hawa jamaa! Na wakati wanaikimbia Jerusalem na kwenda Ulaya na nchi zingingine za Mashariki Mungu hakuwepo? Wakati wanauawa kule Ulaya tangu Karne ya 5 hadi 20, Mungu hakuwepo?
 

Hapa umenena vema zungumzieni vita sio dini, sisi waafrika ni maboya kweli , we unabishania dini hata kutengenza kijiko huwezi. Wenye dini zao wesemeje, sisi wakuletewa ndo tunajifanya tuzijua. Hebu tuwaige wachina wakorea na wajapani wako bize kuboresha maisha Yao, vitu vingi made in China Japan au Korea hao wairan na wasrel wanakuletea nini.
 
Kabisa mkuu. Jamaa wa hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…