Wako wapi walio sema Hezbollah kisha

Adiosamigo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
10,614
Reaction score
13,997
Hujui nguvu za Mungu wa Israel ambaye ndiye Mungu wa wakristo unaowaita mkanisa. Subiri atakushangaza
 
Leo nimetizama Pres tv Ayatollah analia lia mwisho kamalizia aya ya Quran 3:126 wakati anajua siku zote Islam haifui Dafu kwa Myahudi, kwahito hiyo aya inamhusu Netanyahu
 
Hujui nguvu za Mungu wa Israel ambaye ndiye Mungu wa wakristo unaowaita mkanisa. Subiri atakushangaza
Nyie mna Mungu nyie mungu wenu binadamu mtoto wa Mariam na kama Mungu wenu Yesu mtoto wa Mariam basi Waisrael wao hawamuamini kabisa ndio sababu walimtundika wampigilie misumari.

Waisrael wanamini Mungu wa Waislam ndio Mungu wao lakini tatizo lao walitaka Mitume wa Mungu wote wawe kutoka kwenye kizazi cha Ishaq sio kwa Ismael.

Wayahudi wanamini kabisa Mtume Muhammad ni Mtume wa Mungu lakini ni watu ka a alivyo sema Mwenyezi-Mungu wanaujeuri na wanajiona wao bora kuliko wengine.
 
Leo nimetizama Pres tv Ayatollah analia lia mwisho kamalizia aya ya Quran 3:126 wakati anajua siku zote Islam haifui Dafu kwa Myahudi, kwahito hiyo aya inamhusu Netanyahu
We kenge huna unalo jua Umemuona Khomen wakati Netanyahu hamuoni anamtafuta kumuwa hahaha.

Kama analia ni ya zamani tu hio sio sababu ya vita hi zipo clips nyingi Ayatollah analia sababu akisoma Qur'an au kama kuna kitu kafurahia
 
Nyie mna Mungu nyie mungu wenu binadamu mtoto wa Mariam na kama Mungu wenu Yesu mtoto wa Mariam
Uzuri wenu haswa wewe fake Muslim unaisoma Quran kisha unadanganya Uma Quran inasema Yesu ni Devine, Ni Roho inayoendelea kwenye mwili wa Yesu na Ni Word of Allah. so Kuzaliwa kwake ni party ya kuja ishi nae hapa Duniani he is from Above. furahisha kadamnasi ila Quran unapingana nayo
basi Waisrael wao hawamuamini kabisa ndio sababu walimtundika wampigilie misumari.
Roman ndio walifanya hayo yote - hebu kuwa. unadhani ujinga wenu wa Mudy kuliwa kiboga na manjemba meusi yakimpanda kwa zamu hadi akalia miguu yake haia nguvu na anasikia maumivu makali
Enh, wewe ni best of deciver kumzidi Allah, Wayahudi wanamuamini lini Mhammad wakti walimpa mitego michache tu akaingia chaka, Likiwepo la Duhl qaimain kuwa mtume wa Allah, na Wakamcheka kuwa Yesu sio anko wa Musa kwani ni miaka zaidi ya thousands Aisha hadi akamcheka mumewe,
Alafu umejijibu mwenyewe kuwa Mitume wote lazima watoke kizazi cha Yakob na jinsi ulivyo mjinga hujui kama hata Quran imeandika yote kudhibitisha Mohammad so Mtume wa Mungu bali Allah aka Iblis, Allah hakuwepo enzi za Musa bali Yahweh.

Hujui why Muslim hate Jews ni sababu Jews walimuingiza kenge kila walipomtembelea Mohammad na hakuna aliweza kumfuata yeye wala Huyo Mungu wake mpya Allah Goddess.

Mohammad alishawahi sema endapo watatokea Wayahudi japo kumi tu wakaigia uislam bila shuruti basi Jews wote watakubali sasa kule Medina hakuna Jews aliyekubali kuingia Uislam.

Jews na Christians walilipishwa kodi kuabudu Mungu wao na sio Allah so wewe ni Muongo
 
Hujui nguvu za Mungu wa Israel ambaye ndiye Mungu wa wakristo unaowaita mkanisa. Subiri atakushangaza
Kama Israel ni Mungu hata wa waislam ndiyo maana waarabu wameufyata wakati wenzao wakichinjwa kama kuku kila uchao wakiombea vyakula na ardhi ambavyo ni haki yao nao wasifanye kitu. Umeelewa?
 
Blaa Blaa Blaa eti Qur'an inamtambua Yesu ni Mungu hahahaha leta Aya moja inayo sema Yesu ni Mungu huna. We hujui lolote maswali yangu mengi hukuweza kuyajibu.

Bora tutazame kichapo anacho pelekewa Israel

Mtoto wa Netanyahu kaingiliwa huko kwenye shimo kachakazwa vibaya yupo hospital . Waisrael wanasema baba yake ndio reason ndugu zao na watoto zao kufa


View: https://youtu.be/szshG9lJxo4?si=nDlhsgD9W_hMsPtE
 
Bila kuingiza udini moyo wako hauridhiki. Kanisa limeingiaje hapo?. Kwahiyo kwako hiyo vita ni ya kidini mpaka uingize kanisa?. Una chuki za kipumbavu sana. Ila huyo USA unayemtaja taja. Iran na vikundi anavyovifadhili awezi kudili na marekani. Fatilia vizuri medani za kivita itakupunguzia mihemko.
Mihemko ya kidini imekuvagaa mpaka hata uhalisia uuoni.
 
Huwezi mtenganisha YESU na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, maana Bible wakati Mungu anaumba YESU alikuwa kama study wa kazi
 
We unanikumbusha hadithi ya Firauni na Mussa vita ni skills huyo hapo Israel alikuwa anajitapa leo anapokea kichapo cha mbwa koko mpaa analia US aingie kumsaidia nacwakati anasaidiwa mpaa kuangusha hizo Missiles na anapewa silaha za kila aina. We amka ukubwa wa USA una mwisho wake si ajabu Iran ndio akamuangusha.

US na Israel walisema wana control Air space na kujisifu wana Air Supremacy leo Iran anaonyesha ndegev ake za kivita zinaruka haya nipe jibu hapo si ajabu zikaenda piga Israel


View: https://youtube.com/shorts/XrWkWX4PFjE?si=Bj_xmwJoeQl2RfY0
 
Changia mada namna hii siyo kuingiza kanisa. Hakuna vita ambayo haiwezi kuleta hasara kwa pande zote. Mwisho wa vita bado haujafika na vita vinaendelea usije ukageuka hapo. Iran Hana jeuri ya kuiangusha USA jidanganye tu. Narudia Tena acha kujipa matumaini hewa.
 
Kwani Iran anapigana vita na US hahaha Israel inateketezwa huko we baki na story za Firauni na Mussa ndio utajua hakuna super power zaidi ya Mungu tu hata US ata tandikwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…