Wako Wapi In Africa Band?

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,048
Reaction score
74,773
Hawa jamaa wamepotelea wapi? Hakika walikuwa wananikosha sana kwa aina ya muziki wao.
Nadhani wengi wanaojua muziki watakubaliana nami kuwa hawa walikuwa talented kuliko aina hii ya bongo flava inayotamba kwa vijana wa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…