Wako wapi hawa mastaa waliotikisa sana ulimwengu wa muziki

Hiyo ni videoder ndiyo ilikuwa inaniletea sehemu za kuchagua nizihifadhi wapi lakini vidmate ukibonyeza tu wimbo kudownload 1 kwa 1 wimbo unaingia kwenye bluestacks bila ya kukuletea set up za kuchagua uhifadhi wapi wimbo kabla ya kuudownload
Binafsi natumia vidmate. Ukiingia kwenye setting utakuta hiyo kitu mkuu
 
Yani nielekeze hizo settings nawezaje kuziboresha au kuziweka ziwe zinaniletea option ya kuhifadhi miziki nitakapohitaji kabla ya kupakua.
hazileti option ya wewe wapi uhifadhi mkuu, bali wewe ndio unachagua wapi uhifadhi downloads zako.

Anyway, ukiifungua vidmate utaona viji-mistari kadhaa kushoto juu, hapo ndio utakuta SETTING, Ukifungua hapo ndio utakuta option ya wapi downloads zako zihifadhiwe

All the best mkuu
 
hazileti option ya wewe wapi uhifadhi mkuu, bali wewe ndi unachagua wapi uhifadhi dowloads zako.

Anyway, ukiifungua vidmate utaona viji-mistari kadhaa kushoto juu, hapo ndio utakuta SETTING, Ukifungua hapo ndio utakuta option ya wapi dowloads zako zihifadhiwe

All the best mkuu
Asante sana Chifu
 
Kuna taarifa mkali mwingine black rob naye katangulia mbele za haki, siku kumi baada ya mkali mwingine DMX kutangulia.
 
Tatizo wa kwetu wanaingia kichwa kichwa kuhusu mikataba ya label au kupromote bidhaa au huduma flani ya kampuni....hawana hata mwanasheria wa kuwatafasiria sheria/taratibu za mkataba...kiufupi wametanguliza sana njaa mbele, mwisho wa siku wanakuja kulia wamedhulumiwa au wanahitaji mchango wa matibabu n.k. kutoka kwa mashabiki pindi wanapopata maswaibu.

Kitu kingine, hawawekezi kwenye biashara zingine. Wao hufikiria watadumu milele kwenye music industry. Hata wakianzisha biashara huamini jina lao pekee litatangaza. Kwenye biashara kuna mambo mengi ya kufanya kuliko wanavyofirikiria....

Kilichobakia sasa hivi wanaangalia nani anaongoza views nyingi youtube, followers wengi instagram na shangwe nyingi za jukwaani ukijumlisha na kiki za maisha fake kwa kusema wamenunua nyumba au gari. Bila kuangalia uhalisia wa kipato chao wanachoingiza na maisha yao halisi wanayoishi kwenye social media...ni vitu viwili tofauti. Wanaishi kufurahisha mashabibiki kwamba wana maisha ya juu.
Haya sasa majungu, Hakuna wakati mziki una walipa vizuri wasanii Kama sasa ukilinganisha na kipindi cha nyuma. Pamoja na kiki zao na drama mbalimbali Lakini Kuna tajir atatengenezwa kupitia mziki Kama ilivyo kwa jay z na kanye west nk.
 
Back
Top Bottom