Wako hoi, hawana namna inabidi watumie mbinu mbadala.

tatizo lenu ni kwamba, mpo kwenye chama `kidogo' sana, kwamba hata huu uchaguzi mdogo, viongozi wenu wa kitaifa wamekomaa nao maana hakuna namna, hivyo mnafarijika na `mafuriko' mnayoyaona ambayo kimsingi, hayatokani na kukubalika kwa chadema, bali yanatokana na `ushamba' wa watu kwenda kushuhudia mbowe et al ni watu wa namna gani baasi,
Hawa jamaa wanajidangaya na vijisiasa vyao vya mitandaoni.
 
CCM waname dhihirisha kuwa ni vinara wa utoaji wa rushwa katika nchi, tena rushwa ya awamu ni kubwa na kwa Watanzania waadifu ni lazima tuikemee kwa nguvu zote, yani chama kimekosa sera mpaka kufikia kuonga ajira mkidhani wanachi watawakubali kuwa mnapenzi ya kweli na watu wa Taifa hili, acheni kabisa kuwadhalilisha watanzania kwa kiwango hicho mna sahau jinsi mlivyo wavunjia nyumba watanzania maskini kabisa wakalala na watoto nje mchana jua lao usiku baridi yao jambo limeuma mioyo ya wananchi wote wa nchi hii na kwa pamoja bila ya kujali kuwa hawa ni wa upinzani au ccm wameamua kuwaadhibu kwenye sanduku la kura ili nanyi angalau muonje machungu lau kidogo japo hawezi kufikia mlicho watendea, au mlidhani kuwa hamtarudi kwa wananchi kuomba kura, tafadhali mjitathmini msijaribu kutumia giliba za hovyo kama mnayo hivi sasa,wananchi tumelia sana ndani ya mioyo na sasa nuda wenu na nyie kulia umefika na hili hamlikwepi.
 
Back
Top Bottom