lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
Kweli wanawake mmekua vituko, kwakujiona mahiri kwa kila jambo, eti utasikia mwanamke ooh mimi napenda mwanaume mwenye six park, mara ooh wenye vitambi hawana huge dick, wengine utasikia napenda handsome sura ngumu siziwezi, eeh jamani kama wataka perfect si muende Veta au Sido mkachonge sampuli muitakayo?
Maana ninyi wenyewe tunawavumilia kwa mengi, wengi wenu magogo kitandani, sura ngumu, papuchika smell, hasa kipindi hii ndio balaa kila unaepishana nae ana kiriba tumbo, mmevimbiana kama ma bar maid, but tumetulia tu. Tabia ya ubaguzi mkome, tupendane kwa hali na mali.