Wakili Mwale kesi yake imeishia wapi?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,393
Reaction score
38,857
Huyu billionea wa Arusha alikuwa Wakili mzuri sana, akakamatwa na kesi ya kuhujumu uchumi.. Hivi imeishia wapi??
 
Jamaaa alikuwaanatembea namil 30 pkt mny kwenyegari
 
Haya maswali si ya kuuliza Tz,yanajijibu yenyewe. Wanasiasa wanapigania vyeo sio wananchi. Sheria ni kwa masikini tu
 
Tukupe namba yake umuulize?
 
Hata ya Mramba na Yona sijui iliisha.. au bado? Kesi za wenye hela ni raha tu kila wanapopelekwa mahakamani wanaongezewa umaarufu, kesi zaidi ya miaka 10 hata waliokuwa hawwatambui kutokana kuwa na umri mdoga wanakuja kuwafahamu. Kuwa maskini upate kesi hakimu anakupiga miaka yako haraka magaereza zisije kosa wafungwa na hata kama huna hatia utasingiziwa.
 
Haijaisha na jamaa bado yuko magereza anasubiri UCHUNGUZI ukamilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…