Safi sana kaka eti hadi diwani "Mhashimiwa diwani"..... non sense!It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Yes, hata hapa nikiangalia supreme Court of Kenya, my lord clause imetawala.Wanasheria duniani kote wana utaratibu wa kuitana,learned counselors ,learned brothers,sisters,My Lord, nk.Ni utamaduni tuuu,ni professional language,ni slang yao.Msitoe povu.
Utasikia eti raisi dk shika,rais professor majimarefu! Raisi ni raisi tu akitaka udk akafundishe au akatibu tujue moja bana.It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Marando alimchomoa Mnyere na mauaji ya Mpenzi wake....tena Mauaji ya makusudi kabisa.Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje wakili msomi kibatala kashindwa kumchomoa LULU. Je aendelee kujiita wakili msomi wakati kesi rahisi kama hii imemshinda
[emoji13]Daddy is coming!
Uko sahihi mkuu,ili ni tatizo la Africa wanapenda sifa wakati sifa nimatokeo.It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Raisi Dokta Magufuli....hahaha upuuzi mtupu hawa wandishi,nimeshawahi kuona raisi wa Tanzania anaitwa Mheshimiwa raisi Dokta Magufuli kwenye Dar24 website😱😱
Wewe sasa unaonyesha kuchanganyikiwa. Jitahidi kuielewa dunia ndugu. Kibatala na mawakili wenzake ni wasomi( learned), wewe unapotoka povu kwa ajili ya Kibatala ni kisokorokwinyo chako tu. Utakufa na kijiba rohoni. Utateswa sana na mambo yaliyo nje ya uwezo wako.Drama tu hizo, watu waongo sana.
Hapa bongo sikuwahi kusikia mwanasheria akiitwa wakili msomi zaidi ya huyo Kibatala.
Kwamba mawakili wengine hapa bongo hawajasoma au vipi?
Kwa uandishi huo unafaa sana kuishi na wamama wa uswahilini.Wewe sasa unaonyesha kuchanganyikiwa. Jitahidi kuielewa dunia ndugu. Kibatala na mawakili wenzake ni wasomi( learned), wewe unapotoka povu kwa ajili ya Kibatala ni kisokorokwinyo chako tu. Utakufa na kijiba rohoni. Utateswa sana na mambo yaliyo nje ya uwezo wako.
It's non-sense kumuita wakili msomi, kwani mawakili wapo ambao hawajasoma?
All over the World sio hoja ya msingi, kama tunataka kuangalia hivyo basi mambo yote ya kijinga yanayofanyika huko kwa wenzetu nasisi utashauri tuyafanye?
Watalaamu wa sheria, kwani kuna mtu anafanya kazi za sheria na sio msomi wa mambo ya sheria?
Watu weusi tunapenda kujikweza sana huu ndio ukweli.
Mheshimiwa flani, mbona huko kwa wenzetu unakolilia husikii wakisema honorable President Obama au honorable President Donald Trump?
Utasikia US President Donald Trump
Sasa hapa kwetu sema waziri John bila kutaja muheshimiwa Waziri John.
Ujinga mtupu, tunakomalia vyeo vya kijinga kuliko kufanya mambo ya maana.
Uliwahi kusikia Nyerere akiitwa Muheshimiwa? Unadhani kwanini hakuwahi kuitwa muheshimiwa ilihali alikua rais?
Watanzania tuache mambo ya sifa za kijinga
Rudi darasani mkuuNeno msomi huwa lina ikena sana. Kwani hamna mwalimu msomi?
Mama yake unamtwisha mzigo usiokuwa wake mkuu, Kama una watoto subiri utaona
Wale Mawakili wa serikali walio pewa jukumu la kwenda kusimamia ile kesi ya samaki wa magufuli na kupigwa nje nao utadhubutu kusema walikuwa mawakili wasomi?Drama tu hizo, watu waongo sana.